Karibu katika tovuti yetu ya CRYPTO ISLAND PRO. katika ukurasa huu utakuwezesha kuona video za maelekezo mbali mbali ya jinsi ya kutumia tovuti hii kwa usahihi.
jinsi ya kuchukuwa kozi za free
Jinsi ya kuchukuwa kozi za kulipia
Tafadhali fuata hatua zilzizopo kwenye video ya hapa. itakuonesha jinsi ya kuchukuwa kozi kwa usahihi. kama ikitokea umekwama sehemu tafadhali screenshoti iyo sehemu kisha tutumie kwa whatsap number 0716-990865 tutakupatia msaada zaidi na kwa haraka.
Jinsi ya kuingia na kutoka darasani.
Tafadhali fuata hatua zilzizopo kwenye video ya hapa. itakuonesha jinsi ya kuingia na kutoka darasani kwa usahihi. kama ikitokea umekwama sehemu tafadhali screenshoti iyo sehemu kisha tutumie kwa whatsap number 0716-990865 tutakupatia msaada zaidi na kwa haraka.k