Habari

CRYPTO ISLAND PRO

Naitwa Mr Baisam. Mkaazi na mzaliwa wa tanzania zanzibar, ni mkurugenzi wa taasisi ya crypto island pro.Kitaaluma ni mhandisi (engineer), ila kwasasa nimeamua kujikita moja kwa moja kwenye tathnia hii ya mambo ya blockchain na cryptocurrency kwa ujumla wake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *