SPECIAL EXAM FOR BEGINNER
kwa wale wote waliopo darasa la beginner tafadhali tunaomba muwasili kwenye jaribio la mtihani litakalofanyika tarehe 07 jumapili 2022. ikitokea hujafanya mtihani kwa dharura tafadhali hakikisha unawasiliana na uongozi wetu. ila ukiacha kufanya mtihani kwa makusudi basi tambua kuwa chuo hakitakutambua kwa chochote kile kama […]