Please enter CoinGecko Free Api Key to get this plugin works.
Ili uwe na hamasa ya kila siku kuna mambo ya msingi sana unapaswa kuyafanya. kwasababu binaadamu wote huwa wanatabia ya kubadilika badilika kulingana na matamanio na mtazamo wa akili kwenye jambo fulani.
kuna wakati binaadamu huwa unatamani sana mafanikio ya kuwa na uwezo mkubwa sana wa kifedha, majumba na magari na huingiwa na hamasa kubwa ya kufanya kazi kwa juhudi ili atimize ndoto zake, lakin cha kuskitisha binaadamu huyu huyu kuna siku anaamka anakuwa hana tena hamasa ya kufanya kazi kwa juhudi tena na akili yake inakuwa imezongwa na mambo mengine mengi ambayo yapo mbali na ndoto zake.
sasa basi ili uwe na hamasa ya kutimiza ndoto zako kubwa kila siku basi yakupasa ufanye haya yaliofundiswa kwenye video hii hapa chini. usipofanya haya basi uwezekano wa kutokutimiza ndoto zako utakuwa mgumu sana. hakikisha jifunze haya leo na uanze kuyafanyia kazi kila siku utaanza kuona maajabu baada ya miezi 3 tu ukiwa unafanya kwa muendelezo wa kila siku.
BAAADA YA KUSKILIZA VIDEO HAPO JUU TAFADHALI FANYA KAZI HII HAPA CHINI KISHA SHARE NASI KWENYE GROUP.
Andika malengo yako kwa kutumia vipengele vifuatavyo:.
Andika future passing yako.