Please enter CoinGecko Free Api Key to get this plugin works.
Kila kitu hakika kina faida zake na hasara zake. hata misukosuko, changamoto na maumivu pia huwa yanafaida kubwa sana kwetu. kwaiyo kwenye safari yako yoyote unayopitia ya mafanikio lazima ukumbane na changamoto, maumivu na misukosuko mbali mbali ili ikujenge na ikufunze namna bora ya kujidhatiti na mbinu bora za njia ya mafanikio.
hata kwenye uwanja huu wa kutrade lazima upitie haya katika safari yako ya mafaniko. jambo kubwa unalotakiwa kuwa nalo akilini ni kutokukata tamaa. Funga mkanda, kaza buti hakuna mafanikio yaliyokuwa rahisi, jiandae na lolote utalokutana nalo kwenye maumivu au changamoto utayokutana nayo pambana hadi nawewe uweze kuwa imara ili utimize ndoto zako kwa njia hii kama walivotimiza wengine.
hemu tujifunze kwenye video hii hapa faida mbali mbali unazoweza kupata kwenye maumivu unayoyahisi au utakayoyahisi katika changamoto za safari ya mafanikio yetu.