Please enter CoinGecko Free Api Key to get this plugin works.
SMART CONTRACT:
Sio lazima kujuwa haya kwa undani ila inakupasa ujuwe angalau maana yake tu. kwasababu hii ni lugha ya computer mpaka uwe na utaalamu nayo kuweza kuelewa vizuri. ila kwa hatua ya awali tujifunze kwa ufupi katika video hii hapa chini walau kujuwa maana yake na jinsi inavyotumika.