Please enter CoinGecko Free Api Key to get this plugin works.
Katika kila safari ya mafanikio ni lazima upitie nyakati tofauti kabla ya kuyafikia mafanikio hayo. hauwezi kufanikiwa kama hujapitia nyakati mbali mbali ila katika nyakati hizo zipo hizi kuu 4 ni lazima uzipitie;
sikiliza video hii hapa chini kwa uchambuzi zaidi
tafadhali kabla ya kuendelea na masomo mengine hakikisha unafanya kazi iliyopo mwisho video iliyopo hapo juu kisha share majibu yako kwenye whatsap group yetu.