Please enter CoinGecko Free Api Key to get this plugin works.
Mentor ni mtu ambae anaekufundisha mambo mengi Unayopaswa kufanya ili kutimiza ndoto na malengo uliyonayo. Vile vile Mentor ni moja kati ya mtu muhimu sana katika safari ya mafaniko. Binaadamu yoyote safari yake ya mafanikio haiwezi kuwa rahisi kama atakuwa hana mentor. kuna tofauti kubwa kati ya mentor na role model.
kwaiyo kama hauna mentor basi ni lazima umtafute uwe nae kuanzia leo hii. na ili kuchagua mentor aliekuwa sahihi kwako kuna vigezo muhimu vya kuangalia. sikiliza video hii hapa chini kwa kujifunza jambo hili kwa undani zaidi.
Tafadhali fanya kazi hii baada ya kusoma kipengele hiki;