Please enter CoinGecko Free Api Key to get this plugin works.
MUONGOZO:
hongera kwa kuwa mmoja wa wanafunzi wa taasisi hii. yapo mengi utajifunza hapa ambayo yatakuwezesha kukubadilisha moja kwa moja kama utayazingatia ipasavyo.
Kumbuka kuwa malipo uliyolipia kwa ajili ya kozi hii ni yakukuwezesha kujifunza kwa muda wa miezi 4 tu. baada ya hapo hautaweza tena kuingia darasa hili hadi uongee na uongozi wetu kwa utarabu maalumu na kwa mchango maalumu ndio utaweza kurudi tena. tafadhali tunaomba uwe serious na kujifunza kwa kipindi hiki kwa muda wa miezi 4.
kama utakuwa na swali au maoni tunaomba uchangie au uulize kwenye group letu la whatsap. ongea na muawakilishi wetu kwa whatsap kwa number zifuatazo ili akuadd kwenye group letu. 0773-282279.
sikiliza video hapa chini kuweza kupata maelekezo ya vipengele vya kozi hii kwa kukuonesha jinsi ya kujifunza kuvitumia kwa usahihi.