Please enter CoinGecko Free Api Key to get this plugin works.
Dunia kwa kawaida huwa inapitia mabadiliko tofauti. na miongoni mwa mabadiliko hayo ni mabadiliko ya kiviwanda.
mabadiliko haya ya kiviwanda kwa kawaida tunayaita MAPINDUZI YA VIWANDA. na hadi sasa dunia imeshapitia mabadiliko au mageuzi matatu ya kiviwanda na sasa dunia inajaribu kuingia katika mapinduzi ya 4 ya viwanda.
hemu tujifunze hapa kwenye video hii ili tuweze kujua historia ya mabadiliko hayo kupitia sababu na chazo chake ni nini, pia tuone kwasasa tunaelekea wapi kupitia mapinduzi haya ya 4 ya viwanda.