Please enter CoinGecko Free Api Key to get this plugin works.
Duniani kuna watu wa aina 2
Kwa mujibu wa mtaalamu wa mambo ya saikolojia na uongozi bwana John maxwel amewahi kusema “wewe ulivo leo ni matokeo ya tabia zako za kila siku”. kwa maana ya kuwa kama ungekuwa hauna tabia ulizonazo leo kwa kipindi cha nyuma basi usingekuwa kama ulivo sasa ivi.
kwaiyo ukiamua kubadili tabia ulizonazo sasa ivi basi kesho yako utakuwa upo mbali sana. pia yakupasa kujali sana muda unaoupoteza.
ili kuanza kujali muda wako basi yakupasa uanze kubadili asubuhi yako unapoamka tu. na kuna mambo ya msingi yanakubidi ufanye kabla ya kuanza kufanya kitu chochote kile.
sikiliza video hii hapa ili ujifunze zaid kipengele hiki.