Please enter CoinGecko Free Api Key to get this plugin works.
katika kila safari unayotaka kuanza nayo basi ni lazima ufanye maandalizi kwanza kabla ya kwenda safari yako. hautakiwi kukurupuka tu. kwaiyo hata safari hii pia inahitaji maandali ili uweze kufikia lengo lako la kujifunza hapa crypto island pro.
tafadhali sikiliza video hii hapa chini kuweza kujua unapaswa kujiandaa nini na nini kabla ya kuanza safari yako hii masomo.