Please enter CoinGecko Free Api Key to get this plugin works.
ili uweze kufanikiwa katika jambo lolote lile kwenye maisha basi ni lazima uzingatie kanuni hizi kuu 3 kabla ya kuanza kulifanya ilo jambo.
ukiweza kuzingatia kanuni hizi basi hakika jambo lako utaweza kulifanya na utaweza kupata faida nalo kubwa sana, na kinyume chake kama hujazingatia kanuni hizi basi nilazima kufanikiwa kwako utaona ni jambo gumu sana na itakuwa rahisi kwako kukata tamaa.
kanuni zenyewe ni kama zifuatazo;
sikiliza video hii hapa ujifunze hayo: