Please enter CoinGecko Free Api Key to get this plugin works.
Connection ni jambo muhimu sana kuwa nalo hususwan kuwa na connection nzuri. maana bila ya kuwa na connection nzuri huenda kukasababisha mafanikio yako kutokuwa mepesi kama yalivo kwa watu wengine.
Zipo aina nyingi za connection muhimu. ila hapa tutajifunza aina kuu 5 za connection muhimu ambazo unapaswa kuwa nazo, na kama hauna kwasasa basi unatakiwa uzitafute uwe nazo maana ni muhimu sana.
sikiliza video hii hapa chini kujifunza hili.
hakikisha unafanya kazi iliyopo mwisho wa video iliyopo hapo juu. kama hujafanya basi ni kheri bora usiendelee kujifunza mengine mbeleni hadi uifanye hii kazi. ukimaliza kufanya tafadhali share nasi kwenye group.