TAFADHALI TUNAOMBA ZINGATIA HAYA KABLA YA KUJIFUNZA CHOCHOTE.
Taasisi ya CRYPTO ISLAND PRO haipo kwa ajili ya kutoa ushauri wa kifedha (financial advice). Mtumiaji yoyote atakaeamua kulipia masomo yetu basi yeye binafsi atakuwa na wajibu wa kuhusika juu faida atakazopata au hasara atakazopata. CRYPTO ISLAND PRO haitahusika na chochote juu ya maamuzi ya kifedha utakayofanya na elimu utakayopata hapa usichukulie kama ni ushauri wa kifedha (financial advice).
CRYPTO ISLAND PRO. taasisi hii itakuwezesha kupata mafunzo tu ya kukuelewesha mambo mengi kuhusu cryptocurrency na teknolojia blockchain juu ya faida unazoweza kuzipata na hasara unazoweza kuzipata kwaiyo yakupasa kuwa makini nazo. ili uwe katika upande wa faida tu na upunguze uwezekano wa kupata hasara.
CRYPTO ISLAND PRO. taasisi itakupatia mafunzo kwa pamoja na muongozo mzuri na wa uhakika katika utambuzi wa mambo kwa zaidi ya asilimia 50% ila sio kwa asilimia zote. asilimia zilizobaki utapaswa ufanye research na ujisomee kwa ajili ya kuongeza ujuzi na maarifa juu ya kucheza na masoko kwa weledi mpana kwa ajili ya kupata faida kubwa. kwaiyo usiridhike tu kwa kupata masomo haya mengine endelea kujisomea ili uwe mtaalamu zaidi.