Please enter CoinGecko Free Api Key to get this plugin works.
Haya ni baadhi tu ya maneno ambayo huwa yanatumia kwa wingi kwenye tathnia nzima ya cryptocurrency. ni muhimu sana kuyafahamu ili ukiskia watu wanaongelea nawewe uweze kuendana nao katika kuelewa nini kinazungumzwa.
hii ni kama lugha ya watu wa jumuiya ya crypto. Na kama wewe ni mdau mtarajiwa wa crypto basi ni muhimu pia kuijuwa. Angalia video hii hapa chini kwa ajili ya kujifunza zaidi.