Please enter CoinGecko Free Api Key to get this plugin works.
hichi ni kitu muhimu sana. huwezi kufanya biashara ya crypto kwa ufasaha bila ya kujuwa habari mbali mbali duniani zinazohusu crypto. kwaiyo kujuwa habari za cryptocurrency zipo tovuti nyingi sana zinazotoa habari hizo. lakini zifuatazo ni tovuti muhimu ambazo zinafuatiliwa na wadau wengi sana hapa duniani.
sikiliza video hii kujuwa tovuti hizo;