CRYPTO TRADING COURSE (BEGINNER)

Darasa hili ni la awali (beginner) lipo kwa ajili ya watu ambao hawajawahi kutrade kabisa na wale wanaotrade bila ya kupata faida yoyote. darasa hili linafundisha misingi yote ya hatua muhimu za kufanya biashara hii kabla ya kuingia moja kwa moja sokoni.

vile vile pia darasa hili utajifunza namna ya kuchagua broker aliekuwa sahihi kwako na style mbali mbali za kutrade kwa ajili ya kutengeneza faida nzuri kila siku. Pia utajifunza kutrade bila ya kufanya makosa ya mwanzoni maana huwa yanatia gharama sana kwa kila mwanafunzi anaenza kutrade kuwa ni lazima apate hasara kwanza badala ya faida. kupitia darasa hili utakwenda hatua nyengine itakayokuwezesha kupunguza hasara za mwanzoni. RUHUSU DARASA HILI LIWE MUONGOZO KWAKO. KARIBU

Darasa hili kwa kawaida gharama yake ni dolar 350$ ambayo ni sawa na laki 875,000/= tzs ila sasa ivi kwa wanafunzi 50 wa kwanza watalipia kwa bei ya offer ya 50$ ni sawa na shilling 125,000/= tu.

Bonyeza kitufe hapo chini cha rangi ya blue kilichoandikwa “BUY NOW” kwa ajili ya kujisajili na kuchukuwa kozi hii sasa ivi.

TAFADHALI wahi kujisajili darasa hili sasa ivi, maana nafasi  za watu 50 zimebaki chache sana.

Curriculum

  • 12 Sections
  • 63 Lessons
  • 16 Weeks
Expand all sectionsCollapse all sections

3 Comments

Comments are closed.

crypto foundation
Cryptocurrency-Mining-How-Does-it-Work