AI TRADING BOT COURSES.

Karibu ujifunze kozi ya kutumia AI trading bot, ambayo itakuwezesha kutrade kwa kutumia nguvu kidogo tu na hesabu ndogo na kukuwezesha kupata faida ya kila siku

User Avatar

CRYPTO ISLAND PRO

Naitwa Mr Baisam. Mkaazi na mzaliwa wa tanzania zanzibar, ni mkurugenzi wa taasisi ya crypto island pro.Kitaaluma ni mhandisi (engineer), ila kwasasa nimeamua kujikita moja kwa moja kwenye tathnia hii ya mambo ya blockchain na cryptocurrency kwa ujumla wake.

Leave a Reply