Please enter CoinGecko Free Api Key to get this plugin works.
error: Content is protected by CRYPTO ISLAND PRO!!

Darasa hili ni la awali (beginner) lipo kwa ajili ya watu ambao hawajawahi kutrade kabisa na wale wanaotrade bila ya kupata faida yoyote. darasa hili linafundisha misingi yote ya hatua muhimu za kufanya biashara hii kabla ya kuingia moja kwa moja sokoni.

vile vile pia darasa hili utajifunza namna ya kuchagua broker aliekuwa sahihi kwako na style mbali mbali za kutrade kwa ajili ya kutengeneza faida nzuri kila siku. Pia utajifunza kutrade bila ya kufanya makosa ya mwanzoni maana huwa yanatia gharama sana kwa kila mwanafunzi anaenza kutrade kuwa ni lazima apate hasara kwanza badala ya faida. kupitia darasa hili utakwenda hatua nyengine itakayokuwezesha kupunguza hasara za mwanzoni. RUHUSU DARASA HILI LIWE MUONGOZO KWAKO. KARIBU 

Darasa hili kwa kawaida gharama yake ni shilingi  500,000/= ila sasa ivi kwa wanafunzi 50 wa kwanza watalipia kwa bei ya offer ya shilling 250,000/= tu.

Bonyeza kitufe hapo chini cha rangi ya blue kilichoandikwa “NUNUA KOZI” kwa ajili ya kujisajili na kuchukuwa kozi hii sasa ivi.

TAFADHALI wahi kujisajili darasa hili sasa ivi, maana nafasi  za watu 50 zimebaki chache sana.

 

kwanini uchague kujifunza katika taasisi ya crypto island pro?

  • Kujiunga na mafunzo yetu kutakuwezesha kuendana na dunia kupitia mapinduzi ya viwanda yanayokua kwa kasi hivi sasa kwa technologia ya blockchain yenye fursa nyingi za uchumi wa kidigitali.
  • Taasisi yetu inawakufunzi wenye uzowefu na ujuzi wa biashara na fursa za kimtandao kwa muda mrefu na ni taasisi ya kwanza kuanzishwa hapa Tanzania na Zanzibar kwa ujumla wake huku ikiwa imefuata matakwa yote ya kisheria  za serikali ikiwemo  usajili na ulipaji wa kodi. Kwa hakika  kuwa nasi hapa upo katika mikono salama.
  • Taasisi yetu imejipanga vyema katika kuhakikisha unaelewa vizuri mifumo hii na unanufaika nayo moja kwa moja mifukoni mwako ili kukuwezesha kukutoa katika hali uliyopo sasa na kuelekea katika hali nyengine kimaisha.
  • Licha ya hayo pia taasisi yetu inaendelea kujipanga katika maboreshaji mbali mbali na mifumo ya kutoa vyeti (certificate) kwa wahitimu wetu baada ya kufanya mtihani na kwa wanafunzi bora kuzawadiwa zawadi nzuri mfano pikipiki, laptop, simu n.k
  • Karibu ujifunze nasi crypto island pro kwa maslahi yako binafsi na kwa watu wanaokuzunguka

Curriculum

  • 12 Sections
  • 63 Lessons
  • 16 Weeks
Expand all sectionsCollapse all sections

1 Comment

Leave a Comment

Please enter CoinGecko Free Api Key to get this plugin works.
error: Content is protected by CRYPTO ISLAND PRO!!